Fahamu Food Store tunauza korosho, achari, cheuro, kashata za aina zote, nuts za aina zote na tende kwa jumla na rejareja. Tunatoa bidhaa bora kwa bei nzuri.